Bwahaha cheki kikwapa hicho!

Bwahaha cheki kikwapa hicho!

Hivi jasho ni sawa na kikwapa? Nilidhania kikwapa ni harufu yenye kukera itokanayo na jasho pale mtu hajazingatia masuala ya usafi au nakosea?
Kutoka jasho sidhani ni kitu kibaya cha kuzomewa.
 
Hivi jasho ni sawa na kikwapa? Nilidhania kikwapa ni harufu yenye kukera itokanayo na jasho pale mtu hajazingatia masuala ya usafi au nakosea?
Kutoka jasho sidhani ni kitu kibaya cha kuzomewa.

You are right, it is true kikwapa siyo jasho linalomtoka kwapani kila mtu bali ni ile harufu mbaya inayokera. Take care
 
You are right, it is true kikwapa siyo jasho linalomtoka kwapani kila mtu bali ni ile harufu mbaya inayokera. Take care
Na hiyo harufu mbaya inayokera inatokea wapi ka si kwapani?
 
Hivi kuna mtu asiyetoka jasho jamani?
Wewe NN dont u ever perspire?

Hivi umewahi kusikia kitu kinachoitwa anti perspirant deodorant...?

Halafu hilo jasho la kwapa ndo linalonuka....unadhani ukitoka jasho kama hivyo utakuwa unanukia?
 
...😀😀😀, ama kweli sexual fetishism ni kitu mbaya...
 
Back
Top Bottom