Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jasho ni sawa na kikwapa? Nilidhania kikwapa ni harufu yenye kukera itokanayo na jasho pale mtu hajazingatia masuala ya usafi au nakosea?
Kutoka jasho sidhani ni kitu kibaya cha kuzomewa.
kweli kwapa halinuki ila linanukia
Na hiyo harufu mbaya inayokera inatokea wapi ka si kwapani?You are right, it is true kikwapa siyo jasho linalomtoka kwapani kila mtu bali ni ile harufu mbaya inayokera. Take care
Hivi kuna mtu asiyetoka jasho jamani?
Wewe NN dont u ever perspire?
Sasa mbona hatuoni picha hapa?
Piga editing basi uweke picha, si thread yako mwenyewe bwana?Nadhani waliitoa. Ilikuwepo enzi hizo.
Piga editing basi uweke picha, si thread yako mwenyewe bwana?
Nimeona mkuu, a blast from the past... 🙂Umeangalia tarehe lakini?