Bwana afisa wa Yanga fc ni wakati sahihi kutumia jina lako sahihi na zile tuhuma za magomeni vipi?

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Inajulikana wewe unaitwa Juma bakari tangu ukiwa mwalimu kule pemba hata wanafunzi wanakujua kwa jina hilo umeingia clouds tv ghafla ukageuka Antonio Nugaz
ni swag au vipi?
Ushakuwa afisa hapo Yanga ni vyema ukatumia jina lako la kiislamu shehe wangu,ahalfu eti zile tuhuma kwamba siku ile ya mtiti pale magomeni kwa pablo escobar wa kibongo na wewe ulikuwepo na ukawa mmojawapo ya wachache waliofanikiwa kuruka ukuta na kusepa speed mithili ya usain bolt ukiungana na marehemu bondia Tomas mashali ambaye hata ngumi zake hazikufua dafu kwa mirindimo ya zile risasi za kikosi maalumu?
 
Maumivu yakizidi meza UD Songo Moja Moja
 
Mbona hamsomeki..!mara Afisa habari, mara Mhamasishaji yaani Vyura mmeshikwa vilivyo na Simba SC, mpaka mnaona Afisa habari aliyopo ni mchawi kwa matokeo Uwanjani na hafai, mmeamua kubadilisha..!

Muda si mrefu zamu ya kumbadilisha Banakongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dalili za wazi za wivu hizi!:
 
Tumetukia makosa yenu Kiongozi. Semi illiterate kama Haji kumpa u Afisa Habari na Mawasiliano lazima maji yakorogeke tu.
After all, kazi ya Afisa Habari na Mawasiliano si kuhamisisha.
 
amini amini nakuambia wewe Tomaso,majirani walishuhudia siku ile njemba zikikimbia na kuruka ukuta ule wa ngome ya yule muuza unga, watoto wa mjini wengine watangazaji wengien mabondia walikuwa ndani ya kile kiwanda wanafunga vitu vyeupe kwenye vijimfuko,amini amini hadi magari walisahau ndani mle.
Dalili za wazi za wivu hizi!:
[/QUOTE
 
Jambo jema ni kwenda kitengo ukatoe taarifa na ushahidi wako, tofauti na hapo ni udaku wa kike na wivu ambao kwa mwanaume rijali haipendezi.
 
Hahahaha tuhuma nzito ,kwann polisi hawajamkata hadi Leo ukiwa aliwatoroka eneo la tukio
 
Jambo jema ni kwenda kitengo ukatoe taarifa na ushahidi wako, tofauti na hapo ni udaku wa kike na wivu ambao kwa mwanaume rijali haipendezi.
Hajj manara alitapeli watu magari vya kutosha na juzi tena katapeli milion 83 kwenye ile pafyumu na hakuna kinachoendelea unchoshangaa wewe ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…