Inajulikana wewe unaitwa Juma bakari tangu ukiwa mwalimu kule pemba hata wanafunzi wanakujua kwa jina hilo umeingia clouds tv ghafla ukageuka Antonio Nugaz
ni swag au vipi?
Ushakuwa afisa hapo Yanga ni vyema ukatumia jina lako la kiislamu shehe wangu,ahalfu eti zile tuhuma kwamba siku ile ya mtiti pale magomeni kwa pablo escobar wa kibongo na wewe ulikuwepo na ukawa mmojawapo ya wachache waliofanikiwa kuruka ukuta na kusepa speed mithili ya usain bolt ukiungana na marehemu bondia Tomas mashali ambaye hata ngumi zake hazikufua dafu kwa mirindimo ya zile risasi za kikosi maalumu?