Bwana afisa wa Yanga fc ni wakati sahihi kutumia jina lako sahihi na zile tuhuma za magomeni vipi?

Tena udaku haswa

Juma Antonio khatibu Bakari ' Nugaz' piga kazi
Taratiiiibu taratibu ustaadhi usiwastue TEAM UNAONA WIVU naona umechanganua jina la Juma bakari halafu hiyo Antonio itoe hapo mwanzo iweke huko mwishoni kwenye a.k.a
 
Mikia FC wameanza baada ya sisi kupata saizi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…