Salaam, Shalom!!
To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI chochote Cha mamlaka.
(1 Wafalme 22: 19-20)Says:
19: Mikaya akasema, sikia basi neno la BWANA, Nalimwona BWANA ameketi katika KITI chake Cha enzi, na jeshi lote la Mbinguni wamesimama upande wa mkono wake wa kiume na WA kushoto.
20: BWANA akasema, ni nani atakayemdanganya Ahabu, Ili akwee Ramoth -Gilead aanguke?
21: Akatoka Pepo akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya,
22: BWANA akasema jinsi Gani? Akasema, nitaondoka kuwa Pepo wa UONGO kinywani mwa manabii wake wote, akasema, Utamdanganya na kudiriki pia.
......Mwisho wa kunukuu......
Mwezi huu November, tayari tumekwisha uingia mwaka wa uchaguzi 202v,
Wanaopanga kuingia vitani/ katika uchaguzi ujao, Hasa waliokalia viti, wanatamani kurudi tena vitani Ili washinde na kurudi kuvikalia viti hivyo katika nafasi mbalimbali.
Waaminio miungu wanarudi Kwa miungu na Kutoa sadaka Ili kupata RUHUSA katika Roho kabla ya Uchaguzi, na wamwaminio Mungu mkuu, Mungu wa miungu pia wanarudi kuomba na Kutoa sadaka kwake pia.
Sasa Mungu amekwisha Sema kupitia vinywa vya manabii wake kuwa "Usiende vitani" lakini sauti ya Mungu mnaipuuza, mnaenda Kwa miungu na miungu hiyo inapewa Ruhusa na Mungu wa miungu Ili iwadanganye kupitia vinywa vya manabii wa UONGO isemayo, "endelea", "utashinda",
Ni kheri kusikia sauti ya Mungu na kuacha kuingia vitani, maana vita hiyo hutashinda.
Swali linabaki kuwa, Je Ahabu ataisikiliza sauti ya Mungu kupitia Nabii wake Mikaya, au ataisikia sauti ya Pepo kupitia kinywa Cha manabii Hawa wa uongo wasemao "Nenda vitani utashinda, hakuna kama wewe, una Kila silaha na uwezo na mamlaka"?
Mbingu zinaangalia mchezo unavyokwenda🤔
Hongera sana Donald Trump, umeshinda vita sababu Mungu alisema utashinda na imekuwa, Nyikani Inakuja pia.
Karibuni🙏