Bwana amenituma kuja humu!

  • Thread starter Thread starter GY
  • Start date Start date

GY

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,279
Reaction score
126
wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango

msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
 
Karibu sana, labda bwana Yesu amemtuma kuja kuhubiri injili. Karibu sana tena sana tupo tayari kusikiliza neno bwana huyo aliyekutuma kama ndiye.
 
karibu sana mpendwa ubarikiwe na bwana
Amen
 
bwana wa mitandao, mijadala, ukunaji kichwa, na uchambuzi

bwana yuleyule aliyewatuma nyinyi kuja humu
 
is semenya a he/she?
 
Achana na semenya.anza na wewe mwenyewe kujitambulisha kama ni she au he ili mchumba Xpin na wapwa zake wasihangaike kuuliza.

Kibatani cha senks kimepotea kule. Ngoja nikupee kwea hapa thanks
 
Achana na semenya.anza na wewe mwenyewe kujitambulisha kama ni she au he ili mchumba Xpin na wapwa zake wasihangaike kuuliza.

is this the right place kwa watu kutafuta wachumba, nilidhani mnasehemu ya mapenzi na ghasia zake zote mahali pengine
 
is this the right place kwa watu kutafuta wachumba, nilidhani mnasehemu ya mapenzi na ghasia zake zote mahali pengine

We sema kama ni he/she. Nani kakuambia tunatafuta wachumba humu?
 
Ebwanee karibu sana wewe mwombe Invisible akupe mwongozo wa JF yaani sisi hapa ndo nyumbani huko kwingine tukiingia tunaona hakufai hujachelewa JF ndo mtandao bora kuliko yote Tanzania.
 
Ebwanee karibu sana wewe mwombe Invisible akupe mwongozo wa JF yaani sisi hapa ndo nyumbani huko kwingine tukiingia tunaona hakufai hujachelewa JF ndo mtandao bora kuliko yote Tanzania.

asante maana huu nao pia mwongozo

invizibo, nipe mwongozo mkuu, watu wanapotaka kujua if i am a he or she nini hasa matumizi yake
 
hebu muelezee dia,hajui wote ni kapo humu ndani.occupied wote

Isipokuwa mpwa fidel anataka wa 2012. Hilo jina inaelekea elekea kama she vile. Nshasahau reproduction system ya form 2 B. Hahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…