FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mwende wapi na humu kuna uzima, tena uzima wa kutosha![]()
amen ubarikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwende wapi na humu kuna uzima, tena uzima wa kutosha![]()
Kuna kauwezekano alikuwa namatatizo ya akili, hasa yale yanayo ambatana na kifafa (epilespsy). Soma kuhusu Simple Partial Seizures. Mtu anayepata hiyo anakuwa na "visions", na kama ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kushawishi watu, basi ndio kama vile. Na kuna dini kadhaa za hivi karibuni zimeanzishwa na watu wanaojulikana kuwa na matatizo hayo (he Seventh Day Adventist, Buddha, etc).
Soma hii:
http://www.bbc.co.uk/science/horizon/2003/godonbrain.shtml
Pia watu wenye kichaa wana delusions (kuamini vitu ambavyo havipo), na illusions (ku-perceive vitu tofauti na vile vitu halisia vilivyopo kwenye mazingira yao).
Ndio maana si kila anayetokewa na Bikira Maria anafanywa kuwa mtakatifu kwa sababu wengine ndio hivyo wana matatizo ya akili. Sasa sijui nani anauhakika kwamba hao wengine waliobaki hawana matatizo ya akili.