Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
wakaribishwa sana.wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango
msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
Huyo bwana wa mitandao unamjua wewe, binafsi siyo yeye aliyenituma kuja uku ndugu. Mimi nimekuja kwa akili yangu unless uniambie akili yangu ndio bwana wangu. Ila huyo bwana wako kiboko amekutuma kuja JF na siyo kwingine, uku kuna mambo lakini. Karibu gY tunakupenda bestbwana wa mitandao, mijadala, ukunaji kichwa, na uchambuzi
bwana yuleyule aliyewatuma nyinyi kuja humu
Isipokuwa mpwa fidel anataka wa 2012. Hilo jina inaelekea elekea kama she vile. Nshasahau reproduction system ya form 2 B. Hahahaha!
Huyo bwana wa mitandao unamjua wewe, binafsi siyo yeye aliyenituma kuja uku ndugu. Mimi nimekuja kwa akili yangu unless uniambie akili yangu ndio bwana wangu. Ila huyo bwana wako kiboko amekutuma kuja JF na siyo kwingine, uku kuna mambo lakini. Karibu gY tunakupenda best
karibu karibu jamvini mgeni, habari za utokako, tukupokee kifurushi?? bwana alokutuma hajambo, utapendelea kinywaji gani, ugali au wali, chips au magimbi? eh jamani pole na safari tumefurahi kukuona ..
hebu muelezee dia,hajui wote ni kapo humu ndani.occupied wote
Eeeh!!Kumbe, mimi sikujua jamanihebu muelezee dia,hajui wote ni kapo humu ndani.occupied wote
Eeeh!!Kumbe, mimi sikujua jamani
Eti ZD couple wako ni nani? Kumbe mie siku zote nakuvizia kuna mtu anajimegea kimkakati! Nijuze nihamishe majeshi dada
Karibu sana jamvini,ila huyo bwana aliyekutuma tuna wasi wasi nae sana,hata sielewi alikutuma kuja hapa jf kufanya nini?can u tell me hasa umetumwa kufanya nini hapa?
asente, bwana hajambo, vipi wakwako pia hajambo?
ukinipa kaugimbi ntafurahiiii!
huyu atakua ni shori tuu, noo dauti.
Eeeh!!Kumbe, mimi sikujua jamani
Eti ZD couple wako ni nani? Kumbe mie siku zote nakuvizia kuna mtu anajimegea kimkakati! Nijuze nihamishe majeshi dada
Mpwa ahsante kwa unajimu wako. Vipi nijaribu kurusha risasi nitesti zari?
urushe risasi gani? si unajua uchumba huwa unavunjika lakini? mara ya 99 hii.......
Nitamruhusu Sipo anitafute? ohhh?