Bwana amenituma kuja humu!

  • Thread starter Thread starter GY
  • Start date Start date

mkubwa hapa nina wasiwasi kidogo, maana isije kuwa wote wenye imani hasa inayohusiana na uwepo wa mungu wana kichaa

Ebana hii sayansi ya akili inataka ujuzi ambao kwa bahati mbaya mimi sina, maana hata hizo refference ulizotoa siwezi kuzi-verify kama zimeandikwa na watu wenye matatizo ya akili au laa!

Lakini matatizo hasa ya akili ni yapi, ni kuwa active kifikra kuliko wengine, kuwa slow kifikra kuliko wengine, ni kuona visivyoonekana, kusikia visivyosikika, kudhani visivyodhanika, kuwa/kutokuwa na vision

lakini pia hili la kuamini visivyokuwepo, nipe mfano kidogo

Mjadala uendeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…