Bwana Harusi alivyofariki kwa ugonjwa wa ajabu

Bwana Harusi alivyofariki kwa ugonjwa wa ajabu

Ni maabara ya hovyo au ni elimu duni ya wataalam wetu?

Tangu ugonjwa utokee mpaka sasa ni muda mrefu majibu bado.
Kama ni ebola inazidi kusambaa.

Maabara ya hovyo siyo?

"Mkazi wa Kijiji cha Bulinda, Nyangoma Kulwa alisema shuguli katika kijiji hicho zinaendelea kama kawaida huku tahadhari zikiendelea kuchukuliwa ikiwemo kutosalimiana kwa kushikana mikono."
 
Back
Top Bottom