Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao.
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Vick Massawe amethibitisha kupatikana kwa ndugu yao jana asubuhi Desemba 16, 2024.
Taarifa za kupotea kwa Vincent zilifikishwa Kituo cha Polisi Kigamboni Novemba 19, 2024 na mke wake. Jeshi la Polisi katika taarifa lilisema upelelezi ulianza mara moja.
Huyo bi arusi naye atakuwa wa kifala kama ataolewa na huyu jamama. Kama bwana harusi ameshawasha taa nyekundu mwanzo kabla ya kuingia ndoani, si itakuwa balaa hapo mbeleni kwenye maisha ya ndoa?
Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. View attachment 3178798
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Vick Massawe amethibitisha kupatikana kwa ndugu yao jana asubuhi Desemba 16, 2024.
Taarifa za kupotea kwa Vincent zilifikishwa Kituo cha Polisi Kigamboni Novemba 19, 2024 na mke wake. Jeshi la Polisi katika taarifa lilisema upelelezi ulianza mara moja.
Mangi ameanza kwa kufeli...uuze mali ya mtu halafu ukimbilie kwa mganga. That is how low our thinking has become these days.
Tunaamini katika ushirikina na shortcut. Mtu hafanyi kazi ila anaenda kumuhonga Nabii au Mtume ampe hela na mali. Mtu anaibia watu, halafu anajidanganya kuna mganga atamfanyia zindiko kesi ipotelee hewani
Unafunga ndoa ya gharama kubwa ili uonekane Kwa watu kumbe umekopa.Huyu jamaa ni mjinga kabisa au mke wake kamzidi akili Kwa kumpelekesha akope ili kufanikisha hiyo ndoa ya mchongo.wachaga wamezidi kuwa na matatizo ya akili