Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😂😂😂Oa kijana acha kuswamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Oa kijana acha kuswamba.
I can smell something fishi here. Baada ya kelele nyingi imeanza kusukwa mipango madhubuti ili wasiojulikana wasijulikqne kabisaTaarifa ya Jeshi la Polisi
View attachment 3178802
==
Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao.
View attachment 3178798
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Vick Massawe amethibitisha kupatikana kwa ndugu yao jana asubuhi Desemba 16, 2024.
Pia, Soma: RC Chalamila: Hajatekwa, amejipoteza mwenyewe
Taarifa za kupotea kwa Vincent zilifikishwa Kituo cha Polisi Kigamboni Novemba 19, 2024 na mke wake. Jeshi la Polisi katika taarifa lilisema upelelezi ulianza mara moja.