Habari za jioni......this is a true story kwa niaba ya rafiki angu(mwanaume) anahitaji ushauri,anataraji kufunga ndoa mwezi april,anarafiki ake anaishi nje ya nchi muda kidogo umepita huyo rafiki alikuwa na misunderstanding na girlfriend wake jamaa(Bwn harusi mtarajiwa) kajaribu kuwa kati kasolve ikashindikana hivo wakaachana. Baada ya muda jamaa kaanza uhisiano na huyo ex wa rfk ake sahivi ni mjamzito na ndo anataraji kufunga nae ndoa.
Kamjulisha rfk ake kuwa anataraji kufunga ndoa ila hajamwambia na nani na rafiki yake kamtumia zawadi,suti viatu n.k,anaomba ushauri je AMWAMBIE RAFIKI AKE ANAMUOA ALIEKUWA GIRLFRIEND WAKE SAHIVI AU AFUNGE NDOA KWANZA NDO AMWAMBIE?