Bwana harusi yupo Dilema!

Bwana harusi yupo Dilema!

Mahusiano kama ndoa ni ya Msingi kuliko mahusiano yoyote yale kati ya wapenzi. Hio iko wazi kabisa.... Huyo kaka amuambie mchumbake mapema yalomsibu na amwambie kua bado ana nia ya kuoana nae... Lakini kabla hajafanya hivo inabdi amjue vema mchumbake huyo temperement ikoje.... kama ni muelewa ama sio muelewa. Kama sio muelewa amwambie bada ya ndoa .... Ni tabia mbaya ndio sasa to such a person afanyeje?
 
hamna noma amwambie tuu sasa yule si yalishashindikana bana.....
 
Yani yeye hajaona mwanamke wakuoa mpaa akaoe mwanamke aliye kuwa gf wa rafiki yake.

Huyo sio rafiki ni balaa, mwambie akisha owa siku rafiki yake akija nin'gi'nia juu ya kiuno cha mke wake asilalamike.
 
Habari za jioni......this is a true story kwa niaba ya rafiki angu(mwanaume) anahitaji ushauri,anataraji kufunga ndoa mwezi april,anarafiki ake anaishi nje ya nchi muda kidogo umepita huyo rafiki alikuwa na misunderstanding na girlfriend wake jamaa(Bwn harusi mtarajiwa) kajaribu kuwa kati kasolve ikashindikana hivo wakaachana. Baada ya muda jamaa kaanza uhisiano na huyo ex wa rfk ake sahivi ni mjamzito na ndo anataraji kufunga nae ndoa.

Kamjulisha rfk ake kuwa anataraji kufunga ndoa ila hajamwambia na nani na rafiki yake kamtumia zawadi,suti viatu n.k,anaomba ushauri je AMWAMBIE RAFIKI AKE ANAMUOA ALIEKUWA GIRLFRIEND WAKE SAHIVI AU AFUNGE NDOA KWANZA NDO AMWAMBIE?

unajua kuishi maisha ya udalali ni mabaya sana inafika hata mambo yanakukuta unasingizia marafiki anyway pole
 
Yani yeye hajaona mwanamke wakuoa mpaa akaoe mwanamke aliye kuwa gf wa rafiki yake.

Huyo sio rafiki ni balaa, mwambie akisha owa siku rafiki yake akija nin'gi'nia juu ya kiuno cha mke wake asilalamike.
fazaa na bahati mbaya zipo lakini
 
fazaa na bahati mbaya zipo lakini
Hakuna cha bahat mbaya wala nini, sioni sababu ya mtu kwenda kuoa mwanamke ambaye alikuwa ni gf wa rafiki yake zaidi ya kutafuta ubaya kwa rafiki yake.
 
Sooner or Later..ukweli utajulikana tu. Kama ulikuwa na ujasiri wa kuanza mahusiano na huyo dada, nashauri ujasiri huo huo utumike katika kumweleza rafiki yako ukweli!
 
Huyo mshkaji amwambie la sivyo ajiandae kuvuliwa suti, viatu n.k katikati ya sherehe.
 
wakuu sio swala la mchezo hilo, si sahisi huyo jamaa kuamini huyo mshikaji wake hakuwa sababu ya kuachana na huyo mama mtarajiwa. lakini inaonyesha pia huyo jamaa alikua anammendea huyo binti, haiwezekani jamaa aachie we upande, si ulikua unamwona siku zote
 
Back
Top Bottom