Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
- Thread starter
-
- #21
safi sana huyu ni great thinker kama mimi i bet utakuwa umesoma chuo cha gvment.
Nimebahatika kusoma ka certificate ka sheria udsm na ka DIPL ka procurement TIA, nami pia ni mhanga ninaesubiri selection ila nachukizwa na mikopo hii ya kibaguzi
Na pia sheria iliyoanzisha bodi ya mikopo inazitaja sifa za kukopeshwa 1. uwe umedahiliwa ktk elimu ya juu 2. uwe mhitaji 3. uwe raia wa tz, kwa izi tu tayari mtu kunakuwa hamna namna ya kuweka ubaguzi ktk utoaji wa mikopo na hakuna sheria iliyo juu ya katiba. na huu ubaguzi wa mikopo hakuna sheria inayoweza kutungwa ya kuweka ubaguzi ktk mikopo kwani tayari katiba ishatamka, inasikitisha lkn tuamke sasa V
mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi
ndo mwisho wa akili zako kufikiri? Pole ndugu!
mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi
arts wameshajaa kila kona..saiv wanatakiwa wanascience watupu..mtoto wangu akisoma HKL namtoa baruti nyumbani kwangu..
me ni member wa loan board na TCU
Yale yaleeeee ya mbwiga...
arts wameshajaa kila kona..saiv wanatakiwa wanascience watupu..mtoto wangu akisoma HKL namtoa baruti nyumbani kwangu..
Ibara ya katiba 11(2) inasema hivi, "every person has the right to access education,and every citizen shall be free to pursue education in a field of his choice up to the highest level according to his merits and ability" na Ibara ya 11 (3) inasema hivi " the gvt (SHALL) make efforts to ensure that all persons are afforded equal and sufficient opportunity to parsue education and vocational training in all levels of schools and other institutions of learning" nimeliweka neno shall ktk mabano nikimaanisha neno shall kisheria ni LAZIMA HAKUNA MBADALA, lkn je serikali inatimiza? kwa inini iweke ubaguzi ktk kutoa mikopo? kwa ujumla katiba inavunjwa lkn watakuja watokee waelewa wafungue kesi ya kikatiba haya yataisha tu. ndo mchango wangu
Daagh sijui niku classify kundi gani...si juzi tu hapa ulikuwa unamshambulia Mpiga msuli kuwa anaongea maneno ya kitoto na arrogant kibao,leo umerudi kule kule,kumbe na wewe ni wale wale ila ilikuuma kutukaniwa chuo chako IFM??..Nikuulize tu kwa mfano kila mtu angesoma sayansi hayo masomo mengine angesoma nani???..halafu nini kinakufanya udhanie kuwa kila aliyesoma arts alikimbia ugumu wa sayansi??...hufikirii mbali wewe...hujui umuhimu wa mawakili, wachumi
mwambie maana anajiita mwanasayansi kumbe msoma historia ya sayansi.!
teh teh yule mdogo wangu...!
sawa mkubwa wa kazi,me nimechaguliwa bachelor of computer science at St. Joseph,kwenye hili kuna dalili ya mkopo kweli?