Bwana HESLB anakuja.!

Bwana HESLB anakuja.!

Nimebahatika kusoma ka certificate ka sheria udsm na ka DIPL ka procurement TIA, nami pia ni mhanga ninaesubiri selection ila nachukizwa na mikopo hii ya kibaguzi

inaumiza sana aisee kodi zote unalipa stil haki yako inakwenda kwa mafisadi wachache ambao hawalipi hata kodi?
inauma sana.!
 
Na pia sheria iliyoanzisha bodi ya mikopo inazitaja sifa za kukopeshwa 1. uwe umedahiliwa ktk elimu ya juu 2. uwe mhitaji 3. uwe raia wa tz, kwa izi tu tayari mtu kunakuwa hamna namna ya kuweka ubaguzi ktk utoaji wa mikopo na hakuna sheria iliyo juu ya katiba. na huu ubaguzi wa mikopo hakuna sheria inayoweza kutungwa ya kuweka ubaguzi ktk mikopo kwani tayari katiba ishatamka, inasikitisha lkn tuamke sasa V
 
Na pia sheria iliyoanzisha bodi ya mikopo inazitaja sifa za kukopeshwa 1. uwe umedahiliwa ktk elimu ya juu 2. uwe mhitaji 3. uwe raia wa tz, kwa izi tu tayari mtu kunakuwa hamna namna ya kuweka ubaguzi ktk utoaji wa mikopo na hakuna sheria iliyo juu ya katiba. na huu ubaguzi wa mikopo hakuna sheria inayoweza kutungwa ya kuweka ubaguzi ktk mikopo kwani tayari katiba ishatamka, inasikitisha lkn tuamke sasa V

inauma sana mtu unakosa mkopo kumbe kuna member mmoja wa loanboard afanyia mambo yake.!
 
yupo dada pale heslb kesi yake ipo kisutu alikuwa anahamisha ela akishirikiana na jamaa NMB branch ya MOROROGO ROAD na mtumishi mmoja wa CBE na hapa ni huyu tu wapo wakuu wa vyuo wezi sana
 
mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi
 
Kila mtu yupo huru kufanya chaguzi atakayo na haki hii amepewa kikatiba, kwahiyo wewe kusoma icho ulichosoma ni haki yako na huyu a HKL ni haki yake.nimekuwekea ibara za katiba hapo soma usiwe mvivu ili uone nini nilimaanisha.
 
Nafuu umemwona ndg sema mimi namjibu kistaha zaidi mana mi wakati nazaliwa nilitanguliza kichwa
 
arts wameshajaa kila kona..saiv wanatakiwa wanascience watupu..mtoto wangu akisoma HKL namtoa baruti nyumbani kwangu..
 
arts wameshajaa kila kona..saiv wanatakiwa wanascience watupu..mtoto wangu akisoma HKL namtoa baruti nyumbani kwangu..

Daagh sijui niku classify kundi gani...si juzi tu hapa ulikuwa unamshambulia Mpiga msuli kuwa anaongea maneno ya kitoto na arrogant kibao,leo umerudi kule kule,kumbe na wewe ni wale wale ila ilikuuma kutukaniwa chuo chako IFM??..Nikuulize tu kwa mfano kila mtu angesoma sayansi hayo masomo mengine angesoma nani???..halafu nini kinakufanya udhanie kuwa kila aliyesoma arts alikimbia ugumu wa sayansi??...hufikirii mbali wewe...hujui umuhimu wa mawakili, wachumi na sanaa???....Swali jingine naimba unijibu mpaka sasa wanasayansi wa TZ wameifanyia nini kikubwa hii nchi ikiwa hata viberiti vinatoka kenya,pamba za masikio china hata tooth sticks hatuwezi kuzalisha??...viwanda vichache vilivyopo ni vya pombe na sigara na bado pia kwenye sekta za juu za uzalishaji wamekaa wazungu daaamn.....au ndio mnachoweza ni kutuangushia maghorofa tu na kugharimu roho za watu wasio na hatia??.....tafadhali tafadhali ndugu yangu acha jeuri na science yako theory tupu....
 
Last edited by a moderator:
Ibara ya katiba 11(2) inasema hivi, "every person has the right to access education,and every citizen shall be free to pursue education in a field of his choice up to the highest level according to his merits and ability" na Ibara ya 11 (3) inasema hivi " the gvt (SHALL) make efforts to ensure that all persons are afforded equal and sufficient opportunity to parsue education and vocational training in all levels of schools and other institutions of learning" nimeliweka neno shall ktk mabano nikimaanisha neno shall kisheria ni LAZIMA HAKUNA MBADALA, lkn je serikali inatimiza? kwa inini iweke ubaguzi ktk kutoa mikopo? kwa ujumla katiba inavunjwa lkn watakuja watokee waelewa wafungue kesi ya kikatiba haya yataisha tu. ndo mchango wangu

Great thinker
 
Daagh sijui niku classify kundi gani...si juzi tu hapa ulikuwa unamshambulia Mpiga msuli kuwa anaongea maneno ya kitoto na arrogant kibao,leo umerudi kule kule,kumbe na wewe ni wale wale ila ilikuuma kutukaniwa chuo chako IFM??..Nikuulize tu kwa mfano kila mtu angesoma sayansi hayo masomo mengine angesoma nani???..halafu nini kinakufanya udhanie kuwa kila aliyesoma arts alikimbia ugumu wa sayansi??...hufikirii mbali wewe...hujui umuhimu wa mawakili, wachumi



mwambie maana anajiita mwanasayansi kumbe msoma historia ya sayansi.!
 
Last edited by a moderator:
sawa mkubwa wa kazi,me nimechaguliwa bachelor of computer science at St. Joseph,kwenye hili kuna dalili ya mkopo kweli?

usihofu kijana kama ulikidhi vigezo usihofu mkopo utapata
na
nyongeza ni kuwa waombaji ni wachache kwa mwaka huu.!
 
Back
Top Bottom