mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi
mmh! jaman mbona unatunyanyasa sie wa non priority! tunahitaj faraja jamani!
usihofu hapo HESLB huwa ni kama mchezo wa upatu unaweza kupanda lakini mbegu zikafiako.!
bora umenifarij kidogo kaka angu!
Eti mimi wa priority na kidivition 3 chako. Eti mwanasayansi ambae hata hujui HCl kwenye betry ya gari inatunzaje umeme! Jinga kweli.

pamoja mpaka kieleweke.!
Kwa uwezo wa Mungu nitafanikiwa coz HESLB nao wako chini ya Mungu
hata mimi naamin hivyo
hata mimi naamin hivyo
Eti mimi wa priority na kidivition 3 chako. Eti mwanasayansi ambae hata hujui HCl kwenye betry ya gari inatunzaje umeme! Jinga kweli.
Mungu hawezi wasaidia wasio na vigezo vya kupata Loan waje wapateKwa uwezo wa Mungu nitafanikiwa coz HESLB nao wako chini ya Mungu
Mungu hawezi wasaidia wasio na vigezo vya kupata Loan waje wapate
Una mavi wewe..nina div3..hahahaaa!!unaugua degedege nahic..dogo nina div2 ya points 11 ambayo huna uwezo wa kuipata..unasomea ualimu unakuja kushindana ma mm engineer..nyambaf..utakufa maskini wewe
wana vigezo ndio maana wakaomba mkopo