Bwana HESLB anakuja.!

Bwana HESLB anakuja.!

mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi

mmh! jaman mbona unatunyanyasa sie wa non priority! tunahitaj faraja jamani!
 
Eti mimi wa priority na kidivition 3 chako. Eti mwanasayansi ambae hata hujui HCl kwenye betry ya gari inatunzaje umeme! Jinga kweli.
 
Tunge pata watu kumi wenye mawazo kama yako na amini nchi yetu ingefika mbali.Haijalishi uwe nani ukienda kinyume na katiba unaburuzwa courtini tu.
 
Eti mimi wa priority na kidivition 3 chako. Eti mwanasayansi ambae hata hujui HCl kwenye betry ya gari inatunzaje umeme! Jinga kweli.

Una mavi wewe..nina div3..hahahaaa!!unaugua degedege nahic..dogo nina div2 ya points 11 ambayo huna uwezo wa kuipata..unasomea ualimu unakuja kushindana ma mm engineer..nyambaf..utakufa maskini wewe
 
Tunge pata watu kumi wenye mawazo kama yako nina imani nchi yetu ingefika mbali.Haijalishi uwe nani ukienda kinyume na katiba unaburuzwa courtini tu.
 
Una mavi wewe..nina div3..hahahaaa!!unaugua degedege nahic..dogo nina div2 ya points 11 ambayo huna uwezo wa kuipata..unasomea ualimu unakuja kushindana ma mm engineer..nyambaf..utakufa maskini wewe

stupid kapid kabisa! Sasa hapo nawe umefaulu? Hahahaha kama una hata B 1 kwenye combination yako ni bahati. Hivi huoni aibu kujidai mbele za watu wenye division 1 ya point 3 au 4?
 
Wewe huijui bodi ukipata mkopo mshukuru haijalish Priority. Mm mwenyewe nilikuwa Nimechaguliwa Mathematics na wameninyima
 
Una mavi wewe..nina div3..hahahaaa!!unaugua degedege nahic..dogo nina div2 ya points 11 ambayo huna uwezo wa kuipata..unasomea ualimu unakuja kushindana ma mm engineer..nyambaf..utakufa maskini wewe

unamtukana mamba kabla ya kuvuka mto...!!
kwa taarifa yako hao wana arts unaowadharau ndo watakupangia mshahara na mahali pa kufanya kazi
 
Back
Top Bottom