Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
usihofu kijana kama ulikidhi vigezo usihofu mkopo utapata
na
nyongeza ni kuwa waombaji ni wachache kwa mwaka huu.!
asante kwa kunipa moyo kiongozi,amani kwako
stupid kapid kabisa! Sasa hapo nawe umefaulu? Hahahaha kama una hata B 1 kwenye combination yako ni bahati. Hivi huoni aibu kujidai mbele za watu wenye division 1 ya point 3 au 4?
Mungu hawezi wasaidia wasio na vigezo vya kupata Loan waje wapate
stupid kapid kabisa! Sasa hapo nawe umefaulu? Hahahaha kama una hata B 1 kwenye combination yako ni bahati. Hivi huoni aibu kujidai mbele za watu wenye division 1 ya point 3 au 4?
Stupid ni wewe uliepata div3 ya HKL ukaungaunga degree..na huo ---- anaesema cna B katika comb mwambie nina B ya namba hapa..pumbaffff...mm sipangiw mshahara nanegotiate kwa taarifa yako..engineer hapangiwi mshahara labda engineer wa kufuga nyuki ndio atapangiwa..
jipe moyo utayashinda.
Nitayashinda kweli coz nimezaliwa kupambana ndio maana nimesoma PCM..
mmh! jaman mbona unatunyanyasa sie wa non priority! tunahitaj faraja jamani!
Una mavi wewe..nina div3..hahahaaa!!unaugua degedege nahic..dogo nina div2 ya points 11 ambayo huna uwezo wa kuipata..unasomea ualimu unakuja kushindana ma mm engineer..nyambaf..utakufa maskini wewe
ivi tayari ushagraduate na kuwa engineer b4 hujaenda chuo?dogo chunga maneno yako,wa2 waliliwa vchwa na point tatu zao,sembuse ww,iv coet unaijua unaiskia?wadau embu mpeni dondoo huyu chalii!
usijali eshy utapa2,km ipo ipo2,ata mm ckupata round ya kwanza ingawa koz ni priority,wakaja kunpa batch ya2,bt kuna wengne dash mpaka leo.Kuna wana kibao2 wa non priority walikula loan mapema2!worry out madame!
nikidisco mm bas ujue class mzima imeshadisco..
wewe ni nani!isaac newton,albert einstein au profesa majimarefu?!
Engineer kitu gan hapa bongo mbona hadi madaraja ya mtaa wanapewa maengineer wa kichina?
mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi