Bwana HESLB anakuja.!

Bwana HESLB anakuja.!

stupid kapid kabisa! Sasa hapo nawe umefaulu? Hahahaha kama una hata B 1 kwenye combination yako ni bahati. Hivi huoni aibu kujidai mbele za watu wenye division 1 ya point 3 au 4?

Stupid ni wewe uliepata div3 ya HKL ukaungaunga degree..na huo ---- anaesema cna B katika comb mwambie nina B ya namba hapa..pumbaffff...mm sipangiw mshahara nanegotiate kwa taarifa yako..engineer hapangiwi mshahara labda engineer wa kufuga nyuki ndio atapangiwa..
 
mnasoma vyuo vya ajabu then mtegemee mkopo..mtakufa njaa..bum mnalipata mwisho wa semister..
 
stupid kapid kabisa! Sasa hapo nawe umefaulu? Hahahaha kama una hata B 1 kwenye combination yako ni bahati. Hivi huoni aibu kujidai mbele za watu wenye division 1 ya point 3 au 4?

Kwa taarifa yako mwaka huu hakuna div1 ya point3 wa 4 zimeanza point 5..unafkir PCM au PCB lelemama..ndio maana umekimbia kusoma vishazi maana wewe ungepata SIFURI
 
Stupid ni wewe uliepata div3 ya HKL ukaungaunga degree..na huo ---- anaesema cna B katika comb mwambie nina B ya namba hapa..pumbaffff...mm sipangiw mshahara nanegotiate kwa taarifa yako..engineer hapangiwi mshahara labda engineer wa kufuga nyuki ndio atapangiwa..

jipe moyo utayashinda.
 
Science ktu gani bwana! angalia Nchi hii imeshikiliwa nawatu gani harafu ndo uongee!
 
mmh! jaman mbona unatunyanyasa sie wa non priority! tunahitaj faraja jamani!

usijali eshy utapa2,km ipo ipo2,ata mm ckupata round ya kwanza ingawa koz ni priority,wakaja kunpa batch ya2,bt kuna wengne dash mpaka leo.Kuna wana kibao2 wa non priority walikula loan mapema2!worry out madame!
 
Una mavi wewe..nina div3..hahahaaa!!unaugua degedege nahic..dogo nina div2 ya points 11 ambayo huna uwezo wa kuipata..unasomea ualimu unakuja kushindana ma mm engineer..nyambaf..utakufa maskini wewe

ivi tayari ushagraduate na kuwa engineer b4 hujaenda chuo?dogo chunga maneno yako,wa2 waliliwa vchwa na point tatu zao,sembuse ww,iv coet unaijua unaiskia?wadau embu mpeni dondoo huyu chalii!
 
ivi tayari ushagraduate na kuwa engineer b4 hujaenda chuo?dogo chunga maneno yako,wa2 waliliwa vchwa na point tatu zao,sembuse ww,iv coet unaijua unaiskia?wadau embu mpeni dondoo huyu chalii!

nikidisco mm bas ujue class mzima imeshadisco..
 
usijali eshy utapa2,km ipo ipo2,ata mm ckupata round ya kwanza ingawa koz ni priority,wakaja kunpa batch ya2,bt kuna wengne dash mpaka leo.Kuna wana kibao2 wa non priority walikula loan mapema2!worry out madame!

true kabisa
 
Engineer kitu gan hapa bongo mbona hadi madaraja ya mtaa wanapewa maengineer wa kichina?
 
mm wa PRIORITY hata sina shida balaa mnalo nyinyi wa NON PRIORITY..mmetumwa msome HKL..mpaka nipate mm mkopo ndio mtafkiriwa na nyinyi

Do u thnk u are much better than aliyesoma HKL? Hiyo 4m6 yako haijakusaidia chochote na nathubutu kusema kuwa umepata elimu lakin hujaelimika.
 
Back
Top Bottom