Mmmh hii kali jamani hivi humu ndani kila post lazima mtukanane na kujibizana kwanini?
Me nmemfuatilia huyu flyn ryder nmegundua yafuatayo....ana kidomo domo sana kuashiria yy ni mwana arts...ni m2 ambaye ni logicless kuashiria ufaulu wake ni wa chini....anataja.taja UCLAS kuashiria anataman sana kua pale lakini kaambulia chuo kingine...ni mshamba wa elimu(kilaza)akidhan div 2 ndo ufaulu wa juu zaid advance nakat hata hiyo 2 yenywe ni ya ajabuajab....kama alabahatika kwenda 8**KJ bas alkua mke wa mr.RSM
unanianza m cpend
basi usitoe kauli za ivo bhana sio vzuri
Dada uko mkoa gani.
Kweli bhana amekuanza yeye wakati sasa hivi umekuwa mtoto mzuri sana humu jukwaani.
oil sumu am so sorry....!!
poa ucjal 2po pa1 mkuu
mm ctak ujnga nw nataka kuwa member bora humu ndio maana xaxa hv 2pond chuo chochote zaidi ya TEKU
no mkuu cjakulenga ww,nmemlenga uyu mbulula anayejitia ana akili na kidivshen3 chake,nlkua nakazia2 kuptia koment yako mkuu!
mm ctak ujnga nw nataka kuwa member bora humu ndio maana xaxa hv 2pond chuo chochote zaidi ya TEKU
hahahaaaa! oil sumu umenichekesha, sa kwanin TEKU tu?
chuo kama shule ya msng nasema hv coz nimekiona TEKU
teh teh teh! haya bwana! kipotezee basi uckiponde sana utawakatisha wa2 tamaa!
He! kumbe teku ilikuwa ni shule ya msingi!
He! kumbe teku ilikuwa ni shule ya msingi!