Bwana HESLB anakuja.!

Bwana HESLB anakuja.!

Mmmh hii kali jamani hivi humu ndani kila post lazima mtukanane na kujibizana kwanini?
 
Me nmemfuatilia huyu flyn ryder nmegundua yafuatayo....ana kidomo domo sana kuashiria yy ni mwana arts...ni m2 ambaye ni logicless kuashiria ufaulu wake ni wa chini....anataja.taja UCLAS kuashiria anataman sana kua pale lakini kaambulia chuo kingine...ni mshamba wa elimu(kilaza)akidhan div 2 ndo ufaulu wa juu zaid advance nakat hata hiyo 2 yenywe ni ya ajabuajab....kama alabahatika kwenda 8**KJ bas alkua mke wa mr.RSM

Nimeacha kulumbana but mm siwezi kukosa kusoma UCLAS coz sifa za kusoma pale ninazo..na pia mm ni PCM pure so plz kaa kimya coz huyo niliekua nalumbana nae nimeshamuomba msamaha na yameisha so wewe sijui unaloyafuta ni nini..naomba ufunge domo sipendi SHOBO
 
Last edited by a moderator:
Hivi nyinyi mnaotoa lugha ya matusi katika kijiji hiki cha wanajamii ,mnazani wote wanaoishi humu wapo hivyo kama cha kuandika huwa mnakosa BASI MUWE MNASOMA TU YA WEZENU au MUHAMIE KWENYE VIJIJI VYENYE WAZAWA WENYE TABIA HIYO.tuwe na staha ,hekima na busara kwani katika jamii inayoishi humu inamatabaka tofauti ya kiumri.asanteni kama mtanielewa na kuacha kuandika maandishi kama hoyo 🙂
 
Back
Top Bottom