Bwana HESLB anakuja.!

Bwana HESLB anakuja.!

Eti mimi wa priority na kidivition 3 chako. Eti mwanasayansi ambae hata hujui HCl kwenye betry ya gari inatunzaje umeme! Jinga kweli.

Huyu jamaa anaedharau HKL ni -------- sana. Mpaka hiyo 3 yake imempa nyodo anaanza kuwahukumu wenzake. Kwa taarifa yake waliochukua kombi za sayansi na kupata div one mpaka three wameitwa JKT yy na three ya 17 au four analeta nyodo humu??!!! Huyu ni -------- maana angekuwa mjinga tangu anasoma kindergate hadi 4m6 ujinga huo ungekuwa umeshamuisha.
 
pole pole bro ukweli unauma
 
m..... ni baba yako aliekuleta duniani..so hapo utajaza ulikusudia nini...HKL yako unaleta fujo...umepangwa chuo kinaitwa jordan sijui kobe bryant...hata shule zinatofautiana kwa ubora itakua chuo...pumb...avu we
 
Do u thnk u are much better than aliyesoma HKL? Hiyo 4m6 yako haijakusaidia chochote na nathubutu kusema kuwa umepata elimu lakin hujaelimika.

Wadau mi naona huyu mtu achana nae, ukianza kukimbizana na kichaa nawewe utaonekana kichaa,na ukisikia mzazi anamwita mwanae MBWA ujue mzazi ndo mbwa,na ktk kuzaliwa wapo wanao tanguliza kichwa na wengine miguu.huyu anaonyesha mchanga mno na hajiamini
 
usijali eshy utapa2,km ipo ipo2,ata mm ckupata round ya kwanza ingawa koz ni priority,wakaja kunpa batch ya2,bt kuna wengne dash mpaka leo.Kuna wana kibao2 wa non priority walikula loan mapema2!worry out madame!

thanx! kwa kunipa moyo bro! hope mungu atansaidia nitapata!
 
Wadau mi naona huyu mtu achana nae, ukianza kukimbizana na kichaa nawewe utaonekana kichaa,na ukisikia mzazi anamwita mwanae MBWA ujue mzazi ndo mbwa,na ktk kuzaliwa wapo wanao tanguliza kichwa na wengine miguu.huyu anaonyesha mchanga mno na hajiamini

hili jukwaa limevamiwa na virus,sijui 2pate wap antivirus yaani lipimbi lisilo na aibu kama li..ka..ba lina2toa kwenye hoja za msingi!
 
nikidisco mm bas ujue class mzima imeshadisco..

mmh kaka, iv ujawah kusikia mungu anagawa makofi? sasa angalia usije ukalipata ilo kofi! utaangukia pua! jaribu kutoa kauli nzuri bhana! %
 
Wadau mi naona huyu mtu achana nae, ukianza kukimbizana na kichaa nawewe utaonekana kichaa,na ukisikia mzazi anamwita mwanae MBWA ujue mzazi ndo mbwa,na ktk kuzaliwa wapo wanao tanguliza kichwa na wengine miguu.huyu anaonyesha mchanga mno na hajiamini
..Na wengine walitanguliza makalio pia..but haiwezi kutokea HKL iwe greater than PCM..itakua kiama siku hio
 
mmh kaka, iv ujawah kusikia mungu anagawa makofi? sasa angalia usije ukalipata ilo kofi! utaangukia pua! jaribu kutoa kauli nzuri bhana! %
wanazingua hawa ndio maana..anataka kufananisha HKL na PCM..haoni hata aibu..wanafkiria kufeli ni rahic sana ee
 
m..... ni baba yako aliekuleta duniani..so hapo utajaza ulikusudia nini...HKL yako unaleta fujo...umepangwa chuo kinaitwa jordan sijui kobe bryant...hata shule zinatofautiana kwa ubora itakua chuo...pumb...avu we

ww mshenz 2takutana UDSM na HKL yangu. Kwahy punguza nyodo, watu wenye dharau, nyodo na matuc kama nyie ntaanza kuwahukumu panapo miaka 6 ijayo.
 
Back
Top Bottom