Bwana HESLB anakuja.!

Bwana HESLB anakuja.!

ww mshenz 2takutana UDSM na HKL yangu. Kwahy punguza nyodo, watu wenye dharau, nyodo na matuc kama nyie ntaanza kuwahukumu panapo miaka 6 ijayo.
miaka 6..Duuh mbona hapo nitakua mm nipo mbali saba..wewe muda huo ndio kwanza unazunguka na bahasha zako za kaki...HKL utafanya kazi gani hapa mjini..
 
hili jukwaa limevamiwa na virus,sijui 2pate wap antivirus yaani lipimbi lisilo na aibu kama li..ka..ba lina2toa kwenye hoja za msingi!

GEEZZLE mimi nilikuwa naongelea huyu mtu anayeweka mambo ya ajabu ya ubora wa arts vs sayansi mana sijaelewa hii coments ka umenilenga mimi
 
ww mshenz 2takutana UDSM na HKL yangu. Kwahy punguza nyodo, watu wenye dharau, nyodo na matuc kama nyie ntaanza kuwahukumu panapo miaka 6 ijayo.

brother naomba tuyamalize coz sasa naona tunafikia mbali..sorry for everything..coz tunapoteza ladha ya jukwaa na sio vizuri..please...!!
 
brother naomba tuyamalize coz sasa naona tunafikia mbali..sorry for everything..coz tunapoteza ladha ya jukwaa na sio vizuri..please...!!

Hapo umesema mambo ya maana ambayo hata Mungu anapendezwa nayo. Kuwen na heshima kwa kila mtu. Pia usimdharau usiyemjua.
 
Kuna watu kibao mtaani hawajasoma hata darasa moja na maisha yanawaendea vizuri mpaka wengine wanaajiri hao wanaoringa na usomi wao....utoto ni kukariri formula kuwa nkisoma ntakuwa na maisha mazuri....tusome then tuingie mtaani tukashuhudie huko kuwa urahisi wa maisha hautokani na cheti chako cha mzumbe au udsm au sayansi yako bali ni kujituma kwako tu.....tuache dharau please
 
wanazingua hawa ndio maana..anataka kufananisha HKL na PCM..haoni hata aibu..wanafkiria kufeli ni rahic sana ee

Me nmemfuatilia huyu flyn ryder nmegundua yafuatayo....ana kidomo domo sana kuashiria yy ni mwana arts...ni m2 ambaye ni logicless kuashiria ufaulu wake ni wa chini....anataja.taja UCLAS kuashiria anataman sana kua pale lakini kaambulia chuo kingine...ni mshamba wa elimu(kilaza)akidhan div 2 ndo ufaulu wa juu zaid advance nakat hata hiyo 2 yenywe ni ya ajabuajab....kama alabahatika kwenda 8**KJ bas alkua mke wa mr.RSM
 
Last edited by a moderator:
GEEZZLE mimi nilikuwa naongelea huyu mtu anayeweka mambo ya ajabu ya ubora wa arts vs sayansi mana sijaelewa hii coments ka umenilenga mimi

no mkuu cjakulenga ww,nmemlenga uyu mbulula anayejitia ana akili na kidivshen3 chake,nlkua nakazia2 kuptia koment yako mkuu!
 
Back
Top Bottom