Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uhakika kuna mtu alikwenda kusaini juzi akakubaliwa hivyo kazi bado inaweka kuwa mwezi wa kumi mwanzoni au katikati kwa sasa sidhani wanawezatoa
mwana amekwenda kusign nn??maana mm nina tatizo nataka niende but naogopa nahisi wanaweza kunizingua..
Kama una rafiki au jamaaa wa 3rd round kuanzia leo saa3 usiku muulize kachaguliwa wapi. Ni hayo tu.
Mamamakooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama una rafiki au jamaaa wa 3rd round kuanzia leo saa3 usiku muulize kachaguliwa wapi. Ni hayo tu.
Ndo nn sasa?
wadau wa jf hasa kwa wale tunaomsubiria huyu bwana heslb kaeni mkao wa kula kwa mtonyo niliopewa na mdananda wa pande hizo anasema kesho mzigo watauweka hewani tho stay tuned by 2moro kuanzia saa nne.
....
Huwezi kumkuta funza kwenye duka la vipodozi mh..
Akhsanteni sana kwa mlionielewa mh.. Akhsanteni sana!