bwana heslb huyooooo

Kwa uhakika kuna mtu alikwenda kusaini juzi akakubaliwa hivyo kazi bado inaweka kuwa mwezi wa kumi mwanzoni au katikati kwa sasa sidhani wanawezatoa
 
Kwa uhakika kuna mtu alikwenda kusaini juzi akakubaliwa hivyo kazi bado inaweka kuwa mwezi wa kumi mwanzoni au katikati kwa sasa sidhani wanawezatoa

mwana amekwenda kusign nn??maana mm nina tatizo nataka niende but naogopa nahisi wanaweza kunizingua..
 
mwana amekwenda kusign nn??maana mm nina tatizo nataka niende but naogopa nahisi wanaweza kunizingua..

wewe nenda ujalibu watakukubalia,jamaa yangu alikubaliwa juzi ila wakamwambia angechelewa ingekula kwake husiogope waone
 
Ndo chenyewe!! Nishajijua jombaa kama ww bado endelea kusubiria.
 
Habari yakumaminika inasema bodi itatoa majina tarehe 1 mwezi wa kumi 2013. Wiki hizi 2 wanashughulikia wanafunzi wa mwaka wa pili na kuendelea. Tuendelee kusubiri.
 
mkopo ni serious issue.taarifa zisizokuwa rasmi tuziache na tusitake umaarufu kirahisi,mambo yakiwa sawa tutajua na tulieni msiwe na pressure kwani mkizipata mtazila zitaisha tu ndugu zangu
 
wadau wa jf hasa kwa wale tunaomsubiria huyu bwana heslb kaeni mkao wa kula kwa mtonyo niliopewa na mdananda wa pande hizo anasema kesho mzigo watauweka hewani tho stay tuned by 2moro kuanzia saa nne.

Mbuma we!! Usiongee usichokijua acha wenye kazi zao wafanye kazi wakimaliza waachie mzigo kwa roho safi, kama hujui kitu kaa kimya maku we.
 
Nadhan ni wakati wa kujifunza unavyodisturb tension za wa2 inatakia kuwe taratibu za kufungia wajinga kama hawa
 
usenge tuuuuuuuuuuuuuuu,,,,,,,,,,,,,,,,,kuwa makini na thread zako,,,,,,,,,,,
 
jamani kila mtu akiamua kuamsha hasira zake na kutukana mnadhani itakuaje humu ndani...???cha msingi watu msitafute umaarufu kupitia heslb....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…