Bwana James Ole Millya awa wakili wa kujitegemea officially

Bwana James Ole Millya awa wakili wa kujitegemea officially

Hongera zake! Lakini asije kua yuko kwenye lili kundi aliloliita Tindu Lisu - mahakimu/majaji na wanasheria makanjanja!

Mkuu Ndallo James Millya ni msomi wa uwakika siyo kama hawo Tundu Lissu anao wasemea
 
Hongera sana James! Inatia moyo kuona vijana walioenda shule wanaingia kwenye siasa! Usiruhusu siasa za maji taka zikakupofusha ukaishia kuhangaikia tumbo na ukashindwa kuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yako na kwa vijana wenzako!
 
Alikuwa Rais wa wanafunzi Tumaini Univ Iringa akisomea Sheria!miaka 7 iliyopita

Pia alikuwa kiongozi wa TAHLISO na LLM holder toka chuo CHA KwaZulu Natal South Africa
 
We ni k..... Sina la zaidi
Sasa hii ni jamvi la siasa ama ni la legal ama politics wht if angekua cuf ama ccm ingekuaje mungempongeza kiasi hiki think great thinkers
 
Sheria na haki viende sawa. Wacha siasa kwenye sharia Advocate Milly congrats
 
hongera sana kwa hatua hiyo uliyoifikia katika taaluma yako ya sheria; tunakuombea ufanisi mwema katika majukumu yaliyo mbele yako kwa kusimamia haki na usawa kila la kheri na endelea kujielimisha ktk fani yako na nyinginezo
 
Kwa nn alikuwa anaidhalilisha taaluma yake ndani ya ccm?!karibu CDM na tumia elimu kwa manufaa ya wote.HONGERA SANA.
 
Nani kakuambia kufaulu mtihani wa uwakili tayari wewe ni wakili?
 
Its amazing how people could easily evolve from evils to angels! the same level of education which seemed to be low, its now great! Is that true that you just need to be close to the angels to become an angel? this guy you are praising is an opportunistic who could not get his share at CCM, he then ran to a farm where the land lord accepts anyone and make everyone bwana shamba.
 
Nani kakuambia kufaulu mtihani wa uwakili tayari wewe ni wakili?

Unaonekana unataka kujenga hoja isiyo na mashiko, kama unataka kumpongeza we mpongeze tu na kama vipi mpotezee sio ishu ila akienda kwa CJ ujue atapita tu na ataapishwa maana ugumu upo kwenye interview ya bar na hayo mengine ni matters of procedure! Usiogope.
 
Its amazing how people could easily evolve from evils to angels! the same level of education which seemed to be low, its now great! Is that true that you just need to be close to the angels to become an angel? this guy you are praising is an opportunistic who could not get his share at CCM, he then ran to a farm where the land lord accepts anyone and make everyone bwana shamba.

I like this kind of thinking. Big up!
 
Back
Top Bottom