Nashangaa waziri amezishupalia shule za binafisi, zenu zimewashinda sasa mnataka kuziharibu za binafsi, thhis will not be accepted. Mmepanua milingoti ya goli, magoli yameingia mengi mmeshindwa kuhesabu mnageukia binafsi.
Bila kupanua goal posts, wanafunzi wangelitosha form five admission.