Bwana kassim majaliwa: Ziache shule binafsi zitoe huduma

Bwana kassim majaliwa: Ziache shule binafsi zitoe huduma

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Nashangaa waziri amezishupalia shule za binafisi, zenu zimewashinda sasa mnataka kuziharibu za binafsi, thhis will not be accepted. Mmepanua milingoti ya goli, magoli yameingia mengi mmeshindwa kuhesabu mnageukia binafsi.

Bila kupanua goal posts, wanafunzi wangelitosha form five admission.
 
Back
Top Bottom