Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo??
Mkifute tu
Mkifute tu
Mnamlaumu Katambi bure...! Muanze na wanaharakati....! Hawa wanaharakati Kuna uwezekano ndiyo Wana"tumiwa" wakijua kabisa ama bila kujua. Najua haliwaingii akilini hili. Jiulize kwa nini wa provock hili jambo wakati Wananchi wanajipata na wanaelimishwa chanzo cha changamoto zao ikiwemo ya kiusalama na namna ya kuzikabibili ! Hawataki Wananchi wajipate na kuelimishwa ili wakabili changamoto zao wakiwa kwenye Hali nzuri na taarifa za kutosha.Bwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo??
Mkifute tu
hao ni ccm B. Hawana cha kupotezaBwana Katambi, Kama CHADEMA inatishia Usalama wenu , Muifute Yanini kunyima Haki CHAUMMA na ACT wazalendo??
Mkifute tu