Bwana Lissu, kumbuka kuwa Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible!

Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo!
ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa anataka kuwa Mwenyekiti!

Msigwa was and I guess is still your close friend! ulimuamini, ungelifikiria kuwa angelihamia CCM? Hao ndio Kenge.
Hata kwa Samia kenge wapo, wako pale kwa vile she has vyeo to offer!

My take ni kuwa HAIKUWA vibaya kusikiliza hoja sa Samia za maridhiano. Mtu anakuita kuwa njoo tuongee turekebishe "maovu" ya mtangulizi wangu/yaliyotokea nyuma...kama una akili timamu huwezi kukataa, UTAMSIKILIZA WITH GREAT CAUTION TO THE TRUE INTENTION OF HER CALL!
 
Ila mliweza kumpa ugombea urais Lowassa mtu hata mwaka mmoja ndani ya chama hakuwa nao na alitoka CCM moja kwa moja.

Wewe ni kunguni wa Mbowe ?
 
Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible!

Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo!
ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa anataka kuwa Mwenyekiti!

Msigwa was and I guess is still your close friend! ulimuamini, ungelifikiria kuwa angelihamia CCM? Hao ndio Kenge.
Hata kwa Samia kenge wapo, wako pale kwa vile she has vyeo to offer!

My take ni kuwa HAIKUWA vibaya kusikiliza hoja sa Samia za maridhiano. Mtu anakuita kuwa njoo tuongee turekebishe "maovu" ya mtangulizi wangu/yaliyotokea nyuma...kama una akili timamu huwezi kukataa, UTAMSIKILIZA WITH GREAT CAUTION TO THE TRUE INTENTION OF HER CALL!
Rubbish
 
Lissu kila siku anatuhumu wenzie kama yeye ni mkamilifu lakini kama chama kingekuwa chini ya lissu kwa kukosa kwake busara na hekima kingeshakuwa kama Tadea kitamboo tumekwisha kukisahau!
Busara ni nini ?
  • Kumpa tuzo Samia
  • Kuendelea kung'ang'ania kushiriki maridhiano ya kitapeli kisa wewe ni supreme leader
  • Kumpokea Lowassa usiku usiku
  • Kushiriki serikali za nusu mkate
  • Chama kutokuwa na misimamo thabiti
 
Lissu kila siku anatuhumu wenzie kama yeye ni mkamilifu lakini kama chama kingekuwa chini ya lissu kwa kukosa kwake busara na hekima kingeshakuwa kama Tadea kitamboo tumekwisha kukisahau!
Kikisahaulika utafurahi lakini kumbuka bado hakuna maji, umeme wa uhakika, watoto wanakaa chini shuleni, vyuoni boom halijatoka kwenye kura maoni ndani ya ccm rushwa ili tamalaki haswa
 
Busara ni nini ?
  • Kumpa tuzo Samia
  • Kuendelea kung'ang'ania kushiriki maridhiano ya kitapeli kisa wewe ni supreme leader
  • Kumpokea Lowassa usiku usiku
  • Kushiriki serikali za nusu mkate
  • Chama kutokuwa na
Hebu nifafanulie je yote haya uliyoandika hayana baraka za viongozi au vikao vya chama unataka kusema ni mtu mmoja anakurupuka,wakati yanafanyika hatusikii hata mtu mmoja kutoa tahadhari au kupinga!
 
Kikisahaulika utafurahi lakini kumbuka bado hakuna maji, umeme wa uhakika, watoto wanakaa chini shuleni, vyuoni boom halijatoka kwenye kura maoni ndani ya ccm rushwa ili tamalaki haswa
Rushwa imejaa chadema lissu alilalamika , msigwa plus pambalu wote walilalamika kuhusu john mrema!
 
Hebu nifafanulie je yote haya uliyoandika hayana baraka za viongozi au vikao vya chama unataka kusema ni mtu mmoja anakurupuka,wakati yanafanyika hatusikii hata mtu mmoja kutoa tahadhari au kupinga!
Unaelewa maana ya kiongozi kujiita supreme leader ?
 
Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible!

Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo!
ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa anataka kuwa Mwenyekiti!

Msigwa was and I guess is still your close friend! ulimuamini, ungelifikiria kuwa angelihamia CCM? Hao ndio Kenge.
Hata kwa Samia kenge wapo, wako pale kwa vile she has vyeo to offer!

My take ni kuwa HAIKUWA vibaya kusikiliza hoja sa Samia za maridhiano. Mtu anakuita kuwa njoo tuongee turekebishe "maovu" ya mtangulizi wangu/yaliyotokea nyuma...kama una akili timamu huwezi kukataa, UTAMSIKILIZA WITH GREAT CAUTION TO THE TRUE INTENTION OF HER CALL!
Lissu shikilia hapo hapo ,mzee Mbowe lazima ajue kuwa sio kila mwanachadema ni pimbi.
 
Back
Top Bottom