Julius Nyerere Hydro power itabaki daima kuwa legacy ya Magufuli, Samia hahusiki aje na yake, matundu ya choo ile ni aibu na upotevu wa pesa Uko sahihi itakuwa, legacy ya Magufuli na siyo mtu mwingine.

Huyu poti wangu Huwa anaandika kuifurahisha chama kijani, umri wa uzee kama ana akili timamu atakuja kujutia kama yule Mzee wa Russia aliyetengeneza AK_47!,ingawa iliisaidia Russia vitani!