Elections 2010 Bwana mapesa kidedea bariadi mashariki!

Elections 2010 Bwana mapesa kidedea bariadi mashariki!

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,585
Reaction score
1,073
John Momose Cheyo ameshinda ubunge Bariadi Mashariki, live from wapo radio...
 
Mzee Mapesa kweli kashinda kwa kura 38,254... kwa hiyo ni kweli na CONFIRMED!
 
Jamani data ni kitu cha muhimu sana nawaomba sana muwe mnaangalia na afya za wenzenu
 
John Momose Cheyo ameshinda ubunge Bariadi Mashariki, live from wapo radio...

Niliposia Bw. Mapesa nikadhani Vijisenti. Roho kidogo iende kwao. Huyu naye Bw. mara naunga mkono, mara naunga mguu....ajirekebishe.
 
Tume wametangaza rasmi, nashindwa kunakili data kwa sasa ila matokeo ni rasmi
 
Kule labda aamue kustaafu siasa vinginevyo yeboyebo wasahau!
 
Data please. Kuna watu tunajumlisha kura zilizoenda kwa wabunge tuweze kupata estimate ya kura za rais. Tuna mashaka na hiyo asilimia 78.4 ambayo CCM wameshajitangazia. Unajua hawa jamaa wanadhalau sana Watanzania. They think this country belongs only to CCM.
 
Bariadi mashariki:
John Cheyo: UDP 38,000+
Makondo: CCM 33,148

Bariadi Magharibi
Chenge: CCM 50,107

Isack Cheyo: UDP 3,428
 
Back
Top Bottom