Sijui kwa nini wameamua kushuka na kutembea kwa miguu....au itakuwa papara za kuwahi kula tunda wameona wanachelewa sana ktk foleni....au nini???? mjuzi atujuze
Yap ina onyesha gari yao ilipigwa na hio hiace kwa nyuma, na si unajua bei za taa za GX 100 ni ndefu so labda waliamua watembee wasije wakachelewa mimbali.Hii life ni ngumu sana sisi tulio mikoani si hivyo kabisa.