Bwana na Bibi Harusi wachapa mguu jijini DAR

Bwana na Bibi Harusi wachapa mguu jijini DAR

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Sijui kwa nini wameamua kushuka na kutembea kwa miguu....au itakuwa papara za kuwahi kula tunda wameona wanachelewa sana ktk foleni....au nini???? mjuzi atujuze

Foleni.jpg
 
Boflo si unaiona hiyo foleni, hao walikuwa wanawahi Madhabahuni
 
Duh foleni noma....kwa shida na raha wakachukuana.:smile-big:
 
Haya mambo acha kabisa ..mikasa ya ndoa tu hii

Hii ni mikasa ya harusi, haina uhusiano na ndoa!
Sherehe iliingia mushkeri kidogo ila ndoa yaweza dumu daima dawam..
 
Yap ina onyesha gari yao ilipigwa na hio hiace kwa nyuma, na si unajua bei za taa za GX 100 ni ndefu so labda waliamua watembee wasije wakachelewa mimbali.Hii life ni ngumu sana sisi tulio mikoani si hivyo kabisa.
 
Aidha gari yao iligongwa au ilipata hitilafu.
 
Foleni hapa wanawahi kanisani! Kama ni ajali tungeona wapambe kibao....Dar imejaa watu wa kushangaa kila kitu
 
Hii ni siku maalum sana kwap katika maisha yao, Pole zao, ndo nchi yetu ilivyo, I dont think walipenda itokee hivyo
 
Na bado itabidi saluni za kupamba maharusi zijengwe kuzunguka nyumba za ibada😛layball:
 
Back
Top Bottom