Bwana Samatta aipaisha Tanzania kimataifa

Bwana Samatta aipaisha Tanzania kimataifa



Bwana Samata anapaisha kimataifa Taifa la Tanzania.

Gooo good Samata na vijana wengine mliopo Serengeti Boys na Ngorongoro fuateni nyayo zake.
Kaipaisha toka Rank gani mpaka rank ipi?

au unamaanisha kuitangaza?

Kati ya Timu take Genk na Tanzania ipi imepaa?

au unamaanisha Kisoka Tanzania imepaa!?

Sama sama gool lala lala sama goal....[emoji460][emoji460]

Picha imepaisha matatizo kufikiri Kinondoni........[emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41]
FB_IMG_1558267853912.jpeg
 
Sio bwana sema mbwana.rudia tena....eee .viva samatta
 
Astonishing maana yake nini,

Huyu samatta juhudi zake ni tofauti na mtanzania wa kawaida
 
Back
Top Bottom