zeruzeru_mweusi
Member
- Aug 21, 2017
- 10
- 5
Habari zenu mabibi na mabwana. Nimekuwa nikisoma tu maelezo ya watu kwa takribani miezi miwili leo nimefungua akaunti yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.Karibu sana JF............
Asante sana.karibu san
Asante sana.karibu san
Wageni naona kila mmoja na salaam yake ya kuingilia!Habari zenu mabibi na mabwana. Nimekuwa nikisoma tu maelezo ya watu kwa takribani miezi miwili leo nimefungua akaunti yangu.