Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere: Tunaenda kuondoa tatizo la mgao wa umeme na kukatika mara kwa mara

Shida ya umeme kukatika tz siyo ukosefu wa umeme,Bali uduni wa miundombinu ya usambazaji,umeme unaozalishwa Sasa ni zaidi ya matumizi
 
Kukatika Umeme hakuhusiani na Uzalishaji wa Umeme..
Tatizo liko kwenye njia za usambazaji
kaka kwenye hili wengi tumo gizani, hatuelewi kutenganisha kati miundombinu ya umeme na kiwango cha umeme wenyewe. Safi sana kwa kutuweka sawa.
 
kaka kwenye hili wengi tumo gizani, hatuelewi kutenganisha kati miundombinu ya umeme na kiwango cha umeme wenyewe. Safi sana kwa kutuweka sawa.
Watanzania wengi hawafikiriii
 
 
Hivyo tathimini zenu wakati mnafanya mnakuwa mmekufa? Au nchi ambayo mnafanyia tathmini mnakuwa mmeisahau, Tsh 36 hiyo tunanunua wote au pekeenu 90% ya vyanzo vyetu ni umeme wa maji sasa mbn hamtuuzii bei mnayoisema
 
Mwanzo walidai kuwa tulidanganywa kuwa bwawa linajengwa na pesa za ndani. Wakasema linajengwa na mkopo mkubwa. Hata kabla hatujasahau wamerudi na giya mpya, kuwa tozo ni kwa ajili ya miradi ya ndani kama vile bwawa la nyerere, shule, n.k. Swali ni kuwa, je baada ya Magufuli kufariki, huo mkpo waliyokuwa wanausema alikufa nao au zililiwa kwa kufuatana na urefu wa kamba.
 
Mradi unaenda kukamilika na tunaenda kupata umeme wa uhakika kwa 100% ,sasa inakuaje mmeanza kutupandishia ghafla ghafla gharama za uunganishiwaji umeme na mitozo kibao, nyie ni wezi kama wezi wengine na mnapo jaza matumbo yenu kamwe hamuwazi kwa habari ya maisha ya wengine, Mungu anawaona.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…