kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Enzi hizo unalamba kila kitu yaaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, ni yeyeHuyu ni kessy kweli?
Mwamba alikua tozi kinyamaNdio, ni yeye
Yani huyu Aki kuangalia ana ona adi ndani ya ubongo wako huyu mwendazake asingeweza kumdanganya!Na waziri mkuu akiwa ni huyu....
View attachment 1747790
Cha uongo,.itakuwa aliuanza zamani duh,Na waziri mkuu akiwa ni huyu....
View attachment 1747790
Salum KussyHuyu ni kessy kweli?
Ila shangazi zake wangepigwa tuYani huyu Aki kuangalia ana ona adi ndani ya ubongo wako huyu mwendazake asingeweza kumdanganya!
✔️☑️✅Cha uongo,.itakuwa aliuanza zamani duh,
Nimejaribu kuelezea Jambo kubwa gumu, kwa lugha rahisi na tamuInasikitisha.....
Kwani ni yeye 😂Cha uongo,.itakuwa aliuanza zamani duh,
Naam,..😂Kwani ni yeye 😂
😂😂😂😂 mwenda zake ndio maana safari ikawa fupiIla shangazi zake wangepigwa tu
Yaani ni muongo apo ana angalia kamaNaam,..😂
Alikuwa na roho ya mapepo wachafu😂😂😂😂 mwenda zake ndio maana safari ikawa fupi
😂😂😂😂 yani bora Israel mto roho anaweza kukutoa roho kidogo kidogo mwendazake alikuwa ana nyofoa kama mkata umemeAlikuwa na roho ya mapepo wachafu
Alikuwa akijulikana kwa jina Mr. Mikona, anakata Kona Kama treniMwamba alikua tozi kinyama
Tuliomba sana😂😂😂😂 yani bora Israel mto roho anaweza kukutoa roho kidogo kidogo mwendazake alikuwa ana nyofoa kama mkata umeme
Ila nyakati zile dar haikuwa na vurugu na kero kama za sasa. Jioni watu walikuwa wanakwenda kupumzika kwenye bustani za Mnazi Mmoja !!Dar ilikuwa hivi
View attachment 1747853
View attachment 1748033Queen Elizabeth na mume wake walikua na muonekano huu.