GE2025 Bwege: ACT Wazalendo wanataka nifukuzwe, wamenitoa kwenye Group mtandaoni

GE2025 Bwege: ACT Wazalendo wanataka nifukuzwe, wamenitoa kwenye Group mtandaoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa vipindi viwili mfululizo, Selemani Said Bungara maarufu kama Bwege, amesema kuna juhudi za baadhi ya wanachama wa ACT Wazalendo kutaka afukuzwe kutokana na ukosoaji anaoufanya ndani ya chama hicho, na kufichua kuwa tayari ameondolewa kwenye kundi la mawasiliano ya mtandaoni la chama kama ishara ya kumtenga kisiasa.

 
Baki humo humo. Pigana mpaka kieleweke. Usikubali mtego wao wa kutaka ujondoe. Ukiwa humo utasaidia tuyajue mengi.
 
Ayatolla ni dalali wakisiasa siku wazenji wakimkataa ndio siku act itafika mwisho
 
Back
Top Bottom