Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaa.
Madhara sio ccm impact kwenye uchaguzi atakayepata ni cdm.
Hata hivyo hakuna mkutano hapo watu wote wako kwenye viti utafikiri harusini
Acheni kuwafarijiiii, membe mwenyeweee, muda wote alikua anagongagonga maiki, huku umati wenyewee ulikua unasikitishaaa
Halafu, unasema wanaifuta ccm kusini kweli??
Rais ni membe au lissu ?[emoji3]
Labda wa 'Chumbani' Kwako unamolala.
..mind your language.
..na wewe umekuwa kama Magufuli siku hizi?
..majibu gani hayo yasokuwa na maadili?
Labda wa 'Chumbani' Kwako unamolala.
Mkuu umenivunja mbavu kwahiyo hao waheshimiwa wanastahili kuongoza ukubwa wa room tu
Presentation style ya Bwege ni balaa..Bwege huyu hapa.
..sidhani kama kuna mtu anaweza kuhamasisha watu wa kusini kumzidi Bwege.
..unaweza kusikiliza video clip yote.
..lakini Chaurembo yuko kuanzia dk 10:44.
..CCM watafute watu wa kuzima hoja za Chaurembo.
..wakichelewa watajikuta wamefutika mikoa ya kusini.
..Bwege huyu hapa.
..sidhani kama kuna mtu anaweza kuhamasisha watu wa kusini kumzidi Bwege.
Watafutikaje wakati tayari wana majimbo mawili kibindoni?
..Bwege huyu hapa.
..sidhani kama kuna mtu anaweza kuhamasisha watu wa kusini kumzidi Bwege.