Acheni kuwafarijiiii, membe mwenyeweee, muda wote alikua anagongagonga maiki, huku umati wenyewee ulikua unasikitishaaa
Halafu, unasema wanaifuta ccm kusini kweli??
Jimbo la mhe Membe liitwalo MTAMA CCM Ilipita bila kupingwa! atawezaje kuchua majimbo baki ya kusini? Learn from this minute incident, which proves that Wazalendo will definitely get ‘ZERO’ MPs.!!!