Jimbo la mhe Membe liitwalo MTAMA CCM Ilipita bila kupingwa! atawezaje kuchua majimbo baki ya kusini? Learn from this minute incident, which proves that Wazalendo will definitely get ‘ZERO’ MPs.!!!
Jimbo la mhe Membe liitwalo MTAMA CCM Ilipita bila kupingwa! atawezaje kuchua majimbo baki ya kusini? Learn from this minute incident, which proves that Wazalendo will definitely get ‘ZERO’ MPs.!!!
Sasa membe ambae hata tukigombea naye hata ubarozi wa nyumbakumi hawezi nishinda atakidogooo, halafu wanamfariji eti ataifuta ccm yetu pendwaa kusiniiii???
Wakipata wabunge wengi huko wanakua ndo kambi rasmi ya upinzani bungeni.......kila mtu anatupa karata zake sasa ,wale wanaongoja kura za huruma wanaweza pata suprise bunge lijalo