Huyu ni mpinzani wa kweli kabisa. Licha ya kuandamwa na maradhi na kuchangiwa na bibi samia pesa za matibabu hajawahi kutetereka. Kimsimamo. Acha wale wakina MREMA LYATONGA.
Huyu ndiyo mtu prkee aliyesema mbowe anawatanguliza vifaranga kwenda CHAUMMA.
Tumeyasikia maneno ya JAMES MBOWE NA YERICO NYERERE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.