Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa idadi ya vyama vya upinzania si tu walitakiwa kuungana kudai reforms bali kuwa na chama chenye nguvu kukabiliana na watawala. Reforms zinaweza kuwepo na mkaishia kugawana kura, sina hakika kama chadema pekee wanaweza kushinda nusu ya majimbo ya uchaguzi hata kama wao ndio watajigeuza kuwa tume huru ya uchaguzi.Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa waungane pamoja 'kususia' uchaguzi wa mwaka huu badala yake wangepambana kudai 'reforms'
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Septemba 04.2025 mwanasiasa huyo mkongwe nchini amesema hafurahishwi kuona ndani ya vyama vya upinzani kuna kile alichokitaja uwepo wa 'madalali' ambao wamekuwa wakitumika kwa namna moja au nyingine kukandamiza vyama vyao kwa maslahi yao binafsi.
Hasa Zitto Kabwe ni mtu hatari sana atamroga sasa hivi.Huyu mzee watamuua soon
Sahihi snHasa Zitto Kabwe ni mtu hatari sana atamroga sasa hivi.
Dalali mkuuBwege ameshitukia madalali wa upinzani ( Zitto)
Ni namna yake ya uongeaji tu.Katika hali yake ya kiafya Bwege hatakiwi kuwa mtu wa hasira hasira angepumzika siasa
Jamaa huwa muongo sana.Aliwahi kumtishia mtu kwamba ataloga hadi panya wake.Hasa Zitto Kabwe ni mtu hatari sana atamroga sasa hivi.