Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Mkuu sisi tunanunua gari nzima tunakata kwa hiyo usiwaze vitu halali karibu piaMakonda lazima awa visit, mtumba kweli au vinang'olewa kwenye magari ya watu. Few weeks tuliibiwa show ya mbele ya BMW tunaambiwa wanunuzi wakuu ni nyie mnaouza hizo spare. Angalizo tu ni kwamba kama ndio nyie mnamichezo hiyo soon tu itafahamika
Natafuta airbag ya kwenye usukani was BMW x3.ntapata?Kwa mahitaji yako ya vipuri mtumba
Kwa aina tajwa hapo juu tafadhali wasiliana nasi
0712046405
Hutojuta wala kuwaza tena
Karibuni tupo sinza mori wanyama hotel
Alignment imehamaAsante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009
AsanteView attachment 1012101
Story ndefu nenda sehem yeyote wanakopima wheel alignment na wheel balance watakusaidia inahama labda umepiga shimo nk...Alignment imehama kivipi? Kitu gani kimesababisha ihame?
Asante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009
AsanteView attachment 1012101[/QUOTETire puncture sign
Tire puncture signAsante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009
AsanteView attachment 1012101
Hapo chini ya panel ya ac kwenye hizo batan chini kabisa kuna batani ina picha kama hiyo so cha kufanya wekaswitch on then hold hiyo switch kwa second kadhaa itatoweka..hiyo ni taa ya mfumo wa tire pressure sensorAsante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009
AsanteView attachment 1012101
Sio kweli mkuu ingekuwa hivyo ingewasha taa ya sterling angle sensor mkuu..labda ungemwambia aende akapime gari upepo kama upo sawa maana hiyo ni taa ya tire pressure sensorStory ndefu nenda sehem yeyote wanakopima wheel alignment na wheel balance watakusaidia inahama labda umepiga shimo nk...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009
AsanteView attachment 1012101
Asante. Hilo ndio tatizo. Tyre moja ilikuwa imepungua upepo. Kuna mtu mwingine hapa kasema ni wheels balance problem!!!!Tire puncture sign
Maana yake moja ya matairi yako yana pressure ambayo haiko sawa (inaezekana umepungua). Kacheck pressure/upepo wa matairi.
Hiyo ni upepo umepungua.Asante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009
AsanteView attachment 1012101