Bwm,benz, services

Bwm,benz, services

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
645
Reaction score
562
Kwa mahitaji yako ya vipuri mtumba
Kwa aina tajwa hapo juu tafadhali wasiliana nasi
0712046405
Hutojuta wala kuwaza tena
Karibuni tupo sinza mori wanyama hotel
 
Makonda lazima awa visit, mtumba kweli au vinang'olewa kwenye magari ya watu. Few weeks tuliibiwa show ya mbele ya BMW tunaambiwa wanunuzi wakuu ni nyie mnaouza hizo spare. Angalizo tu ni kwamba kama ndio nyie mnamichezo hiyo soon tu itafahamika
 
Mkuu sisi tunanunua gari nzima tunakata kwa hiyo usiwaze vitu halali karibu pia
 
Asante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009

Asante
IMG-20190202-WA0005.jpg
 
Asante mtaalamu wa BMW. Hebu nisaidie hiyo alama kwenye picha inaashiria nini (!)? Hiyo ni X3 Sports ya mwaka 2009

AsanteView attachment 1012101
Hapo chini ya panel ya ac kwenye hizo batan chini kabisa kuna batani ina picha kama hiyo so cha kufanya wekaswitch on then hold hiyo switch kwa second kadhaa itatoweka..hiyo ni taa ya mfumo wa tire pressure sensor
 
S
Story ndefu nenda sehem yeyote wanakopima wheel alignment na wheel balance watakusaidia inahama labda umepiga shimo nk...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu ingekuwa hivyo ingewasha taa ya sterling angle sensor mkuu..labda ungemwambia aende akapime gari upepo kama upo sawa maana hiyo ni taa ya tire pressure sensor
 
Maana yake moja ya matairi yako yana pressure ambayo haiko sawa (inaezekana umepungua). Kacheck pressure/upepo wa matairi.

Asante. Nimegundua baadae kwamba tatizo tyre moja ilipungua upepo!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom