By Any-means, usimuambie ChatGPT “Roast Me”!

Na huo ndo uhalisia mkuu..

ukiangalia apa wote waliotuma screenshort utaona anaanza kwakuwaambia “wanaweka mipango lakn wanachelewa kuitekeleza” na hii kitu ambocho kwa ujumla kinatutokea wengi
 
Yaani AI nayo pia inajifunza, unajua bado AI ni changa Sana yaani Kwa muktadha wa kiraia...AI inajifunza pia kutoka kwetu, inatumia majibu yetu aliyonayo kutujibu....sasa hivi AI infrastructures ndo Habari ya mjini huko duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…