BYD Da Han inaenda Kilometa 1,000 full charge, na ina efficiency ya 8.7 km/kWh. Yaani Kilometa 8.7 kwa unit 1 ya Umeme (Tsh 360)

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
BYD wanatuletea Sedan Kali inayokwenda kwa jina la BYD Da Han.
1588.jpg

Inakuja na versions tatu, zote zinatumika battery kubwa la 102.3 kWh lithium iron phosphate (LFP) second-generation Blade Battery.
1593.jpg

1592.jpg

Katika izo versions Kuna RWD inayoenda Kilometa 1,008 na acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 5 na AWD yenyewe inaenda Kilometa 880, ingawa Ina motors mbili, na iko fast zaidi 0-100 kwa sekunde 3.
1589.jpg

Pia, unaweza kufast charge kutoka
10% hadi 97% kwa dakika 9 tu.
1595.jpg

Da Han Ina Driver assistance ya BYD inayoitwa God’s Eye 5.0, roof-mounted LiDAR inayosaidia Autopilot (Urban NOA), na automated valet parking.
1594.jpg

Ndani Kuna 17.3-inch 3K central display ikiwa na BYD AI voice agent, anaitwa DiDiXia kwa China. Wapenzi wa music, Kuna 7.1.4-channel Devialet sound system ikiwa na jumla ya spika 31.
1591.jpg

Bei yake itaanzia $35k hadi $42k.
 
BYD wanatuletea Sedan Kali inayokwenda kwa jina la BYD Da Han.
View attachment 3686134
Inakuja na versions tatu, zote zinatumika battery kubwa la 102.3 kWh lithium iron phosphate (LFP) second-generation Blade Battery. View attachment 3686140
View attachment 3686135
Katika izo versions Kuna RWD inayoenda Kilometa 1,008 na acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 5 na AWD yenyewe inaenda Kilometa 880, ingawa Ina motors mbili, na iko fast zaidi 0-100 kwa sekunde 3.
View attachment 3686136
Pia, unaweza kufast charge kutoka
10% hadi 97% kwa dakika 9 tu.
View attachment 3686137
Da Han Ina Driver assistance ya BYD inayoitwa God’s Eye 5.0, roof-mounted LiDAR inayosaidia Autopilot (Urban NOA), na automated valet parking.
View attachment 3686138

View attachment 3686139
Bei yake itaanzia $35k hadi $42k.
nchi gani?
 
Ngebe, nyodo, majigambo, madharau, kiburi na majivuno ya Elon Musk kwisha. Tesla chalii kwiiishaa maamaee!
 
Mauzo yanashuka. US wanakaza kuweka tariff kubwa kwa EV za kutoka China ila wapi. Bado zinamsumbua.

Kwahiyo US akaamua apige ban gari za kutoka China.
 
Mchina ameshindana, akipunguza gharama za ndinga zake, anaweza kuteka soko la Mjapan hapa Bongo

Hiyo ni kama milioni 90 hivi kabla ya Kodi na usafiri 🙌
 
Watu watakimbilia sababu ni bei nafuu, ila ukikaa nalo mwaka gereji inakuwa kama sebuleni kwako. Si hata kwenye magari makubwa ya mizigo huwa tunawaona wanaokimbilia ya mchina tena mapya lakini baada ya mda inachoka kushinda scania used iliyoanza tumika mwaka 2005🥲
 
Kumbe Kuna changamoto ya durability 🙌

Basi bora kukomaa na Mjapan tu
 
Mchina ameshindana, akipunguza gharama za ndinga zake, anaweza kuteka soko la Mjapan hapa Bongo

Hiyo ni kama milioni 90 hivi kabla ya Kodi na usafiri 🙌
Bado kidogo kuteka soko Mkuu. Alianza na pikipiki, leo huzioni Yamaha au Honda barabarani.
Kuna Mtu miaka kumi iliyopita angeshangaa kwamba kuna usafiri wa basi wa kisasa nje ya Scania. Leo story nyingine.

Akaingia kwenye malori, leo barabarani zimejaa tele, tena mpya. Yaani kwa soko la malori mapya tayari ameshateka.

Sasa kwa gari ndogo na kwa spidi hii, anateka soko la Bongo mapema kabisa.

Bado kuna Ndege zake za Comac, zikikaa sawa tutakuwa tunatoka Dar kwenda Dodoma kwa nauli ya basi, hahaaa
 
Watu watakimbilia sababu ni bei nafuu, ila ukikaa nalo mwaka gereji inakuwa kama sebuleni kwako. Si hata kwenye magari makubwa ya mizigo huwa tunawaona wanaokimbilia ya mchina tena mapya lakini baada ya mda inachoka kushinda scania used iliyoanza tumika mwaka 2005🥲
Umelinganisha na running cost ya lori jpya la Mchina na Scania used kilomita milioni moja kwa kipindi cha miaka mitatu.
 
Kwa miaka mitatu hadi mitano ya mwanzo mtu wa gari la kichina anaweza kuona amewin ila baada ya hapo ni kilio, ukiachilia mbali durability magari mengi ya kizungu na kijapani bado yana ile comfortablity kubwa muda wa kuendesha na usalama pia upo juu, mchina ana mbio nzuri kwenye kudevelop magari ili kwa sasa bado kuna gap la wazi kwenye magari yake na waliomtangulia kwenye industry hii
 
Leo nilikuwa nyuma ya BYD shark 6 pale mataa ya kamata hakika mchina ni balaa Sana kwenye design ya magari.

Huku barabarani sijui watu wanatoa wapi pesa
 
Back
Top Bottom